MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3079; Hapana sahihi kwako.
3079; Hapana sahihi kwako.Rafiki yangu mpendwa,Kama ambavyo tunajua, tupo kwenye msimu wa kusema HAPANA.Ni msimu wa kupeleka umakini na juhudi zote kwenye vitu vichache na kuachana na vingine vyote. Watu hudhani kusema hapana ni rahisi sana, kwa sababu vitu unavyokataa ni ambavyo huvitaki.Lakini hilo siyo sahihi.Hapana sahihi kwako ni ile